Recent content by de josee

  1. D

    Haya wale wa mzumbe university(BAF PS&BS)

    joining instruction ipo kitambo sana login kweny account ako then print mkuu
  2. D

    HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    *je kwa mtu ukisearch akakuta not allocated ** uyo ndo atafte plan B mapema au??
  3. D

    HESLB LOAN RESULT

    hello guys...someni vizuri post hiyo...those are defaulters ---(wanaodaiwa)wala sio batch ya applicants wa 2016/2017.. thanks
  4. D

    Majipu TCU lini yatumbuliwe?

    hv ilo tangazo la TCU kutoa tarh 5 mmeliona wapi? source please
  5. D

    Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    we jamaa jbu kwanza hili swali....upo level gani na umesoma chuo au ndo unaelekea uko?
  6. D

    Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    we jamaa naomba hucje kuniquote vbaya ...am telling u this seriously... am not really sure kama ww ni msomi badala yake umekuja kupotosha ....siku nyingne ukitaka kusema kitu try to think twice mkuu husije kujiona zwazwa kwa maneno yako...pole sana
  7. D

    Kama kuna yeyote aliyepangiwa Eckernforde Tanga university tujuane

    waliochaguliwa mwaka gan?? be open kwa hlo...km ni 2016/2017 am not really sure kama tayari wametoa selection
  8. D

    Msaada: Nimeona Kitu Kwenye Selection

    hyo diploma au degree??
  9. D

    Msaada kuhusu ufaulu kwa walioomba degree

    hamna mkuu tatzo elimu ya bongo imebadilika kila mtu anakiamka anakuja na sheria yake
  10. D

    Msaada kuhusu ufaulu kwa walioomba degree

    guide book nmeisoma vzr mpaka leo bado ninayo mkuu labda nilidhan kuna mabadlko
  11. D

    Msaada kuhusu ufaulu kwa walioomba degree

    wakuu naomba ufafanuzi juu ya ufaulu unaotakiwa mwaka huu kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na mbeya ...maana kila mtu anasema yake uku eti lazima wenye division one mwisho ya point 7 ili kupata chuo na hiyo facult.. ni kweli?
  12. D

    Unahitaji vigezo gani kuomba degree ya Sheria UDSM au Mzumbe?

    Samahani wakuu, Kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na Mbeya ufaulu wao unatakiwa uweje? Maana kila mtu anasema yake huku baadhi wanasema lazima division one mwisho ya point 7. Kuna ukweli wowote?
Back
Top Bottom