Recent content by De Capri Don

  1. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

    SI vizuri kuwasema marehemu ila bibi alikuwa alcoholic hii ni kumaanisha something was wrong.
  2. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    We Wewe unanilisha maneno ,hayo mambo ya mapango na bikira sijui umeyatoa wapi . Jikite ktk hoja je, dunia imetokea TU bubaa au Kuna designer nyuma yake.
  3. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Hoja gani hizo? Ndio tunazijadili hapa maana hoja zenyewe ni marudio TU na kama refutation imeshafanyika ktk debate mbalimbali,juu ya hoja zake imeshafanyika so tuendelee na mazungumzo Ili kujua zaidi.
  4. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

    Mafanikio ni kitu kipana ,mfano Jide unaweza ona amefanikiwa kipesa lakini kiuzazi yeye ni kapuku. So inaweza kuwa kielimu, mahusiano n.k Sema tuangalia mwisho wa wanamuziki huwa vipi.
  5. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Dawkins ni atheist maarufu
  6. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Nadhani hao ndo wajinga maana jinsi Dunia iliyokuwa designed alafu hakuna aliye design basi hiyo haiwekani ,yaani vitu vimejitokeza TU vyenyewe. Kama hapo ulipo yaan iPhone ijitokee yenyewe TU bubaa.inawezekana kweli?
  7. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Kama unataka kujua chanzo Cha Mungu basi napenda niweka hoja ya Infinity Regression Fallacy. Maana Kwa uelewa ni 'muendelezo usio koma au kuwa na Mwisho ' Ikiwa kiumbe kina muumbaji basi na huyo muumbaji atakuwa na muumbaji ambae alimuumba na yeye aliumbwa na muumbaji ambae pia ana muumbaji...
  8. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Kila mtu yuko free kusema maana ya Mungu kivyake ila kama una hoja ya juu ya attributes za Mungu ktk Islam basi TU discuss kuhusu utatu au mizimu Sina nachokijua
  9. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Kama your smart enough na kuchukua mawazo ya akina Dockings na wengine mtunge attributes . Kifupi huna hoja.
  10. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

    Suala la muda tu,sema kwani hao wainjilist wanafanya muziki?
  11. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Katika Islam Mungu ana attributes zake kama Self sufficient, Hana mwanzo Wala mwisho, Independent, Wise, Knowledgeable, Hafanani na chochote, Hakuzaa wala hakuzaliwa. Sasa ukisema He came from something basi hiyo ni kinyume na attribute zake.
  12. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Upendo au chuki nao haupo sababu huwezi hisika kama njaa?
  13. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

    Exactly biology ya form 2 Ila niliongezea Kitaa-ology na google. Usijali naweza kuiweka sawa Kwa msaada wa AI ukipenda mkuu wa PCB.
  14. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Msomali naye pia ni mwarabu. Sababu hakuna bara la Arab ila utamaduni wa kiarabu
  15. De Capri Don

    JamiiForums Tanzania The author is dead

    #8 👌
Back
Top Bottom