Recent content by de andres

  1. D

    Kuhusu msaada wa Internet

    Naomba kunisaidia kama kuna ntu anajua jinsi ya kusolve tatizo la internet kwenye simu mana natumia laini ya Tigo data inagoma kupanda, ila nkitumia wifi za watu inakubali
  2. D

    Hivi kwa maeneo kama shinyanga naweza pata TV flat screen

    Hivi kwa maeneo kama shinyanga naweza pata flat screen mpya dukan ya bei kama 150000 Na ipi ni kampuni bora na ni inch ngapi
  3. D

    Msaada: Ni vitu gani mwanaume kwenye beg la send off la mwanamke?

    Ni vitu gani wahenga mwanaume kwenye beg la send off huwa anaweka kwenye sherehe ya mwanamke
  4. D

    Jinsi ya kutoa pesa Airtel Money kwa njia ya ujumbe

    Mimi ni wakala mpya wa Airtel Money, nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kutoa hela kwa njia ya meseji, pale mteja anapokuja na kuomba kutoa pesa akiwa amepewa pin ya siri ili atoe pesa kwa wakala wa Airtel Money.
Back
Top Bottom