KheeeNguo ya harusi na vingine atavyovaa siku ya harusi, kama hereni, cheni, mkufu. Nk..
Kumbee akuje haraka..Aulizwe Certified Hater
Ametoka kuoa last weekend..
Ndio, hata vitenge, kanga vinawekwa piaKheee
Mbona shoga angu alijaziwa vitenge!!
Maana gauni tulishona wenyewe
Hapa kwa chupi hapana kwakweli, watu wachawi na washirikina sana...Gauni,chupi,viatu, ua,miwani na carolite!!
NB;chupi uuipendayo
Zamani walikua wanaweka shela sababu nahisi yalikua yanaandaliwa mapema yanakua nyumbani.....mimi niliwekewa vitenge na khanga sababu shela nilikodiKheee
Mbona shoga angu alijaziwa vitenge!!
Maana gauni tulishona wenyewe
Eeh kumbe uchawi unahusika kupitia chupi!!, waloge vyote ila sio tamuu ♥️Hapa kwa chupi hapana kwakweli, watu wachawi na washirikina sana...
Chupi amnunulie ampe mkewe...
Maana hili begi linakaa kwao muda mrefu Toka nguo zinanunuliwa mpaka siku ya send-off ni mbali...
Aulizwe Certified Hater
Ametoka kuoa last weekend..
Kumbee akuje haraka..
Mi nilinunua shela begi likapelekwa kwao lilikaa muda tu...Zamani walikua wanaweka shela sababu nahisi yalikua yanaandaliwa mapema yanakua nyumbani.....mimi niliwekewa vitenge na khanga sababu shela nilikodi
Unatafuta mtoto wapi, kumbe chupi iliwekwa mamboooEeh kumbe uchawi unahusika kupitia chupi!!, waloge vyote ila sio tamuu
Nakuelewa haya ni mambo ya mafiwi na shangazi ni ngumu kujua...Sawa nimeoa juzi ndo nimekuwa mhenga sasa? Sikumbuki sana ila yalikuwepo hayo hayo yanayojadiliwa na hao wahenga waliotangulia... Nitarejea
Ni uwa analinunua babu harusi eheeMi nilinunua shela begi likapelekwa kwao lilikaa muda tu...
Nakuelewa haya ni mambo ya mafiwi na shangazi ni ngumu kujua...
We muelewa sana.. Fundisha huyu bint Depal Aache wenge aolewe watu kila siku Tunafunga kwa ajili yakeNakuelewa haya ni mambo ya mafiwi na shangazi ni ngumu kujua...
Hapo watasimamishwa mashangazi wa mchongo ili jambo lifanyikeKama muoaji hana mashangazi
Na kwao walizaliwa kiume tu?
Inakuwaje