swadakta!
Chadema ni chama cha kidemokrasia ambacho viongozi, wanachama, na washabiki wake hawajui maana hasa ya neno DEMOKRASIA. DEMOKRASIA lazima itoe uhuru wa mawazo, siyo kama alivyofanyiwa mwigamba. DEMOKRASIA lazima iwe na nguvu ya hoja, lakini ukiziangalia hoja za wanachadema katika...
Sometimes nikisomaga comments za wabongo wengi kny JF inaonesha upeo wao mdogo wa kufikiri na ushabiki wa siasa uliombatana na malalamiko. Watanzania wanachotaka siyo CHADEMA au CCM kushika madaraka. wanachotaka ni maisha bora hata kama UDP wataongoza nchi. Kama Lowassa anahoja ya kuwezekanisha...
Kuhusu Babu formula ni rahisi na ilikuwa bayana toka awali kwamba hiyo dawa inaenda na Imani ya mtu. Babu alisema hivi, nyie mnaokunywa hii dawa mnapaswa kuamiini na pia kutokurudia mambo yaliyowafanya muugue. simple. kama ulienda na ngoma, ukapewa kikombe ili upone ilipaswa uamini katika hiyo...
Kwahiyo Nape akiungurumisha shangingi nchi nzima (kitu ambacho ni ufisadi na upuuzi nielewe simtetei NAPE), na nyie chadema mnatumia gharama kuungurumisha maandamano?, mnashindana kufanya ujinga!!!? tunahitaji chama ambacho hakifati nyayo za CCM ambazo zimetugharimu hadi sasa. CCM wakifanya...
Kudaadeki! tumechoka sasa na haya maandamano. Kama Mbowe aliikiuka sheria ya nchi hana kinga ya kumfanya asikamatwe. Nitakishangaa chama ambacho kinataka tukishabikie tu hata kama viongozi wake wanavunja sheria. Lakini pia, serikali haikupaswa kumsindikiza Mbowe hadi Arusha kama mhaini kwa ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.