Recent content by Daxo Anania

  1. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Usikubali kuzeekea nyumbani

    What is that 🤔
  2. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nilipokuwa CHADEMA nilikuwa Mjinga

    Time Will Make it happens
  3. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia plate number

    Wamefunga ku access mmiliki wa gari kipitia plate namba
  4. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

    Ugoro ule wa kuweka mdomoni ni kitu kilichonifanya natapika mda wote nikiona mtu anatumia Baadaya kumeza mate wakati niliweka mdomoni
  5. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Waafrika kwa sasa wanazalisha vyao kwa ajili yao?

    "Bajeti hii (mapendekezo ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba hivi karibuni) ina maana gani kwa Mtanzania wa kawaida?, je kuanzia mwezi Julai 2024 hali ya maisha ya Watanzania itakuwaje?, serikali imependekeza...
  6. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

    Viongozi wa serikali kwanza wanatakiwa wawe chachu katika kukemea na kupinga matukio ya kulawiti watoto na pia wasiwe Ndo wanaotenda makosa ya kulawiti na usagaji na Vile vile Sheria ngumu sana itungwe ili iwe jambo la kuogopeka sana "Tuwalinde watoto wetu"
  7. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    "1. Ukimtongoza akakukatalia, usimzingue na kumzushia uongo. Siyo lazima kukubaliwa naye. 2. Mcheki mara moja. Mara ya pili. Hataki kujibu. Achana naye. Usimsumbue. Hamisha kambi. 3. Usijishushe kiwango cha mwisho. Hataki kuongea, achana naye. Usifosi. Siyo mama yako huyo bablai" Brigedia
  8. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    for Men Grate 5 bitter kolas, 5 slices of garlic, a piece of ginger. Put everything in a container to be filled with 1 liter of water to keep cool. Thank me later
  9. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    🚨🚨 "Wananchi wa Kigamboni wanataka Katibu wao wa Kamati ya Wananchi Paul Mwikambe aachiliwe‼️ Inasemekana anashikiliwa na JWTZ kikosi cha baharini (Navy) Ishu ya ardhi ni hatari tupu!" mhe: Maria T Sarungi
  10. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Kuwa mbungeni ni kitetea biashara zao ki msingi na kuendeleza kupandisha Bei za mafuta, Bei ya sukari, Bei ya nauli. Lini umewahi kusikia matajiri wapi matajiri wa mabasi makubwa bungeni wanasemea kushusha Bei ya nauli Lini umesikia Bei ya ruzuku ya mbolea inashuka 💫
  11. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Masimango na kejeli kwa wanaoonekana wamechelewa kuoa/ kuolewa na kupata watoto uzeeni au umri ukiwa umekwenda

    Changamoto kubwa sana uaminifu umepotea gafla na technology imekuwa nafasi kubwa watu kutokuwaza ndoa
  12. Daxo Anania

    JamiiForums Tanzania Meet Gina Miller!

Back
Top Bottom