Habar wanazengo....nahitaji non hosted accnt iliyowahi kutoa zaid ya mara 3....mwenye anayo njoo kwa pm tuyajenge chaaap!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo system ya sim imeanza kuisha....hvyo jitahid kuipa free space ya kutosha kweny disk zake na jitahid kuiboost na kufuta caches....ttzo likizid utabadilisha firmware!
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa...kweli wew hata usome vipi hauwezi kuelimika!! Nina wasiwasi na cognitive yako. Tupo humu kwa kusaidiana na si vinginevyo, huna busara hata kidogo. Na bila shaka wew unasoma o-level na kati ya topic ngumu kwako ni LOG...pole sana.
hahahaaaa....ndugu mimi ni *diploma holder*, nimefurahi baada ya kutoa lililo moyoni mwako mana czani kama wengine wanalo hili kwa head zao. Kwa experience yangu ya hii kazi, ninaweza kusema taarifa yako inaukweli na ina some individuality points of view. Ninaweza kuorodhesha vitu kadhaa...n...
habari wana JF, naombeni mnijuze kwa maana napata wasiwasi sanaaa.
Nimesikia eti kwa walimu waliofaulu mitihani ya supplementary 2014 wanatakiwa watume maombi TAMISEMI ya kuomba ajira. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Ni hlo 2
habari ndugu, hivi kunauwezekano wa mtu kurudia mtihani wa kidato cha sita kwa masomo mawili ya comb yake? Naombeni mnisaidie kupata jibu sahihi tafadhar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.