Kama kuna mtu wa uchumi kwa hawa ndugu zetu yanga hebu ajitathmini vizuri mana hata kama ni biashara sidhani kwa huu uwiano kati ya MAPATO NA MATUMIZI ..Au kama wenyewe wamechukua chao huenda tunaweza kuelewa maana NYUMA YA PAZIA HUWA KUNA MAMBO MENGI
Mimi naona bado wapo kwenye FOUNDATION yaani wanajenga misingi,misingi ambayo ipo siku wataanza kufanya vizuri..Msingi wa kwanza ni ku mantain kubaki kwenye ligi na kwa nafasi nzuri za juu kwenye msimamo na msingi wa pili kuwa mmoja kati ya timu zenye upinzani kwa simba na yanga ...haya ndio...
Dah...basi kumbe ni sawa na kupiga danadana upepo,Sasa timu kubwa kama hiyo hicho kiasi kilichobaki kitasaidia nini?Wazee wenye huu utopolo MMEPIGWA maana hapo Jamaa inaonekana alikuja bila MTAJI.
Siasa ni mtazamo tu,lakini inawezekana kuyapeleka mambo yako utakavyo.Jambo la kuzingatia tu ni kutokuvunja sheria za nchi. Ukifanya hivi utakua umejijengea kisiwa chako na kuishi huru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.