Recent content by Davis Abely Nziku

  1. Davis Abely Nziku

    SoC03 Watu ni Mtaji

    WATU NI MTAJI Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya mfanyabiashara. Natumaini ushawahi kusikia mtu/watu wakisema kuwa Sina Mtaji ndio maana sijafanya Biashara...
  2. Davis Abely Nziku

    SoC03 Luck and Choices

    LUCK and CHOICES Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK) ,.Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo Fursa (Luck = Opportunity +Preparation). Yaani ili uwe na Bahati basi ni lazima uwe na maandalizi...
  3. Davis Abely Nziku

    SoC03 Watu, Siasa na Maendeleo

    WATU, SIASA NA MAENDELEO Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na Mwananchi/Wananchi wote ni kitu kimoja. Kigezo kikuu cha sehemu iitwe nchi basi ni lazima kuwe na Raia...
  4. Davis Abely Nziku

    SoC02 Watu, Siasa na Maendeleo

    WATU, SIASA NA MAENDELEO Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na Mwananchi/Wananchi wote ni kitu kimoja. Kigezo kikuu cha sehemu iitwe nchi basi ni lazima kuwe na...
  5. Davis Abely Nziku

    SoC02 Mazoea yana tabu

    MAZOEA YANA TABU Mazoea ni nini Mazoea ni kufanya /kuchukulia vitu au watu kikawaida kawaida. Nini maana ya neno kawaida, Kawaida ni kutotoa heshima inayostahiki juu ya kitu /jambo au watu Fulani ndio maana Utasikia watu wanasema mimi sipendi mazoea Ukiona mtu anasema hivo basi jua anaona...
  6. Davis Abely Nziku

    SoC02 Watu ni mtaji kufikia malengo na matamanio

    WATU NI MTAJI Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya mfanyabiashara. Natumaini ushawahi kusikia mtu/watu wakisema kuwa Sina Mtaji ndio maana sijafanya...
  7. Davis Abely Nziku

    SoC02 Elimu, madhara na ushauri kuhusu umeme wa radi

    More Fact My Brother [emoji817]
  8. Davis Abely Nziku

    SoC02 Tamaa na Wivu ni Adui Mkubwa Sana katika mafanikio ya mwanadamu

    WIVU NA TAMAA NI ADUI MKUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU Tamaa ni nini Tamaa ni Hali ya uhitaji Uliopitiliza Juu ya Jambo Fulani au ni Hali ya uhitaji wa Ghafla juu ya jambo Fulani bila kuangalia kwa undani juu ya jambo Hilo. Wahenga wakaja wakasema "Tamaa ni Mbaya" wakaenda mbali zaidi wakasema...
  9. Davis Abely Nziku

    SoC02 Bahati na Chaguzi

    Asante Sana ndugu
  10. Davis Abely Nziku

    SoC02 Nilivyotengeneza helkopta

    Kura yangu unayo brooo Vijana tuache ujinga
  11. Davis Abely Nziku

    SoC02 Bahati na Chaguzi

    LUCK and CHOICES Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK). Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo Fursa (Luck = Opportunity +Preparation). Yaani ili uwe na Bahati basi ni lazima uwe na maandalizi...
Back
Top Bottom