Recent content by Davijo

  1. D

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Kilwa waliombwa taarifa zao na orodha ya kufanyiwa malipo kutoka lakini hawajalipwa hadi leo. Wanahisi pesa zimepigwa

    Mpeni mnyonge kilicho chake akusifu kwa nyimbo na mapambio. Huyo afisa elimu halijui hili
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Kweli kabisa watufanyie namna. Ujue ni miaka minne kasoro miezi minne tu. Tumeongeza watoto hivyo majukumu yameongezeka😂
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoambulia kipigo 2016 kwenye Makambi ya wasabato

    Kisasi ni haki ya kila mtu kikatiba bila kujali sababu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoambulia kipigo 2016 kwenye Makambi ya wasabato

    Sasa wapuzi wale si wangekuacha upige japo kimoja? Ila haina noma tutakutana nao sisi ni people na siyo milima.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu ndio silaha itakayotimika Vita ya Tatu ya Dunia na watakatifu kuangusha waovu

    Siyo suala la imani. Ni suala dogo tu la ufahamu na uelewa wa akili endapo haujaruhusu akili yako kuwa mateka wa hizo hekaya.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu ndio silaha itakayotimika Vita ya Tatu ya Dunia na watakatifu kuangusha waovu

    Kitu watu hawasanuka ni kwamba hekaya za Immanuel tulipigwa😂
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

    😂😂
  8. D

    JamiiForums Tanzania KERO Uovu unaoendelea Kivinje Sekondari pamoja na dhuluma ya Afisa Elimu Sekondari Kilwa kwa Walimu

    Kwa kesi ya mapenzi kati za walimu na wanafunzi wadau mbalimbali wa elimu na haki za watoto wangefanya namna kuona linathibitiwa. Ila hao walimu watu wazima wasomi kabisa wanaoogopa kupambania haki zao sina neno la kutia hapo. Labda mamlaka husika iwaonee huruma wachunguze ukweli wa mambo ukoje...
  9. D

    JamiiForums Tanzania KERO Uovu unaoendelea Kivinje Sekondari pamoja na dhuluma ya Afisa Elimu Sekondari Kilwa kwa Walimu

    Huyo afisa elimu anaonekana kuwa ni mnyanyasaji. Kuna kundi la WhatsApp nimeona watu wakimlalamikia kuhusu dhuluma anazowafanyia.
  10. D

    JamiiForums Tanzania KERO Uovu unaoendelea Kivinje Sekondari pamoja na dhuluma ya Afisa Elimu Sekondari Kilwa kwa Walimu

    Walimu wamekuwa wakijihusisha na mapenzi na wanafunzi wao toka enzi. Sijui hii tabia wataiacha lini?
Back
Top Bottom