Recent content by DavidKim

  1. D

    JamiiForums Tanzania LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    . Sasa jamani kwani bongo daladala zote si mtumba? Na zote mnazoona Namba E si ni za miaka tofauti? Badala ya kujiuliza mwendo kasi ikikamilika hawa makondakta watatupiga ngeta au wataokoka?
  2. D

    JamiiForums Tanzania LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Kweli kabisa unataka kutuaminisha bibi kizee wa miaka 80 ni pisi kali kuliko binti wa miaka 20. Kwenye daladala ni kitu kingine.
  3. D

    JamiiForums Tanzania LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Rai wanshida kesho ikipita gari mbovu mnalaumu latra wanaruhusu vipi ifanye kazi🤔
  4. D

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Braza wenzetu wako vizuri wanakufata baada ya kujua ukweli.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Njaa mbaya sana. Wa kristo wanafunga kwa siri sio kama nyinyi mwez wa Ramadhan kanzu nyingi na kupaka mkaa eti sigda😆😆
  6. D

    JamiiForums Tanzania Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

    Mhhhh hawa wakina Rukia kila siku kwa waganga mara ametupiwa jini mara sheikh amempa jini zuri. Jaman waislam kuna jini zuri ?
Back
Top Bottom