Recent content by Davidjl

  1. D

    Duma tours ni matapeli?

    Pole sana kaka ni matapeli wasiofika mbali elfu kumi sio pesa ya kumtapeli mtu sasa wakikamatwa na wakafungwa kisa elfu kumi upuuz Ila achana nao make ukitaka kuwafatilia ni gharama nyingne make uende polisi then uende tigo wakajaribu kumtrack kaz sana na muda unatumika so let it go
  2. D

    Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Waliolipua ofisi za wanasheria walivaa kipolisi sasa ww subir polisi watoe maelezo Usinambie hata movie huangalii hujawah ona ni silaha gan inayo mwaga risasi kiasi kile Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    I Am Looking For A Job.

    Tumia akili japo km punje ya saradani!
Back
Top Bottom