Pole sana kaka ni matapeli wasiofika mbali elfu kumi sio pesa ya kumtapeli mtu sasa wakikamatwa na wakafungwa kisa elfu kumi upuuzJamani jana nilitumiwa e-mail kutoka Duma tours kuwa nahitajika jumamosi saa tatu asubuhi Arusha au Dar kwenye ofisi zao lakini wakata elfu kumi kama uthibitisho wangu kama nitaenda ili wawe na uhakika nikalipa via no 0659735483 baada ya hapo nitumiwe confirmation link. Chakusangaza sijatumiwa nikipiga simu haipokelewi wa email haijibiwi
msaada please
washamba kama hao...Acha zako kwamba sisi wanyalukolo washamba?
Jamaa hawezi kutokea Njombe
Zinduna nakugawa.Sasa unataka usaidiweje?
Hivi ni lini mara yako ya mwisho kutoa sadaka?