Vodacom juz wametuma mesej juz kwamba unaweza lupata 4GB kwa sh elfu 10 tu , kwa hiyo niulize je hizo GB za internet za mwezi au za mda ganii .naomben msaada wenuuu
Samahani doctor mm mwanangu anakuwa anapata joto sana nimejaribu kutumia dawa hzi hapa amoxillin dry suspension na ya minyoo alatrol syrup lakn bado anajoto
Samahani Sana doctor naomba msaada wako kuhusu hili
Mke wangu baada ya kujifungua aliweka vijiti vya uzazi wq mpango yeye aliwekewa mkononi sasa baada ya hapo akawa anableed utakuta wiki nzima halafu anapumzika siku 2 au tatu anaanza tena hali hii iliendelea kwa muda kidogo lakini kwa sasa hivi...
Doctor mm ninampenzi wangu ila tatizo tunapokuwa tunafanya mapenzi Mara nyingi anakuwa analalamika kwamba anaumia sana.
Hii hali inasababishwa na nini? Tafadhar naomba unisaidie
Sasa doctor kunasiku ulisema kwamba wanawake wajisafishe uken kwa kutumia sabuni zenye low pH hzo sabuni zinaitwaje?
Na wakijisafishia sabun za kawaida madhara yake ni yapi? Naomba ufafanuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.