Recent content by david08606-1

  1. D

    JamiiForums Tanzania Paul makonda: Bara bara za Kinondoni zimejengwa chini ya kiwango na ni wizi Mtupu

    Mhhh tukisema serikali ya CCM imechoka na imefilisika kimawazo hata uwezo wa kutumia wasomi ambao imewasomesha kwa mabilion ya fedha imeshindwa.izo barabara wewe ndo umejua leo kwamba ziko chini ya kiwango.kwa Mfano watu wamepiga kelele sana juu ya barabara ya st Marys Tabata plus kimanga mwisho...
  2. D

    JamiiForums Tanzania ITV bakizeni akiba ya ushabiki

    Ni bora hata ITV kuonyesha iyo hali kwa siri kidogo je kwani Hujui kuhusiana na tbc kuonyesha upendeleo wa wazi si ungesema before Kijana jitambue na baki ukawa njia kuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Waziri atembeza mkong’oto, wengine wawili waanguka

    ccmm wanashangaza sana hapo ni wao kwa wao je wakichanganya na ukawa si ndo mwanzo wa machafuko.
  4. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    hapa ni ukawa tu aka mamvi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

    Hapo ushindi ni lazima tena asubuhi na mapema sana.babu rudi ukawa tumemisi siasa zako hakika naamini mwaka huu ni wa mabadiliko makubwa aka mwaka wa matumaini
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 300 Monduli wachoma kadi za CCM na kujiunga CHADEMA

    watu washachoka na jinamizi ccmm
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Mwaka wa mabadiliko this year je kichinjio mnacho
Back
Top Bottom