Recent content by David Tito

  1. David Tito

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startime mnaboa sana hasa kwetu wateja wenu tunaotumia dish maana kila siku bei zenu zinapanda nashangaa kuona kifurushi cha smart kwa sasa 21000/= wakati loca chanel mumeshindwa kufungu hata tbc imewashinda kuruhusu ionekane bure ,kazi yenu kututumia sms eti lipia uweze kuona mechi na mibei...
  2. David Tito

    Boeing yatua kwenye maji huko katika kisiwa cha Chuuk, Micronesia

    Ashukuliwe Mungu maana wote wametoka wakiwa salama.
  3. David Tito

    PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

    Du! PSSF MBONA SIIELEWI MAANA HATA MIFUKO TULIYOKUWANAYO ILIKUWA SHIDA HII ITAWEZA KWELI?
  4. David Tito

    Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

    Hatare sana, poleni nyote mliofikwa na janga hili la moto.
  5. David Tito

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes mnazingua sisi tunauliza maswali ya msingi hamtoi majibu kwanini?
  6. David Tito

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Chanel za bure za ndani mtazifungua kini kwetu sisi tunaotumia dish?
Back
Top Bottom