Recent content by david mkwizu

  1. D

    Msaada Jinsi ya Kudaload Video

    paulss nimefurahi sana jinsi ulivyomsaidia jamaa asee ila kuna kitu kimoja na mimi ningependa kujua... hivi unafanyaje mpaka unakua na uwezo wa kuweka hiyo note hapo ambayo inatoa link ya moja kwa moja kwenda kwenye site ya kitu mtu anachotaka kudownload au kwenye site husika..? hasa ni steps...
  2. D

    honey mfungwa ametoroka jela.....!!!!

    jamaa mmoja alifanikiwa kuoa mdada ambae alikua hajawahi kufanya kabisaaa mambo yetu yalee..! yani I mean alikua b*kra..!!! sasa kabla ya kufanya kile kitendo mkewe akamwambia " jack hebu nieleze ni nini hasa tunaenda kufanya na kinafanywaje..?" jack kwa ujasiri mwingi kama wanavyokuaga watoto...
  3. D

    im just reading here that the pope has....!

    A drunk man who smelled like beer sat down on a subway seat next to a priest. The man's tie was stained, his face was plastered with red lipstick, and a half empty bottle of gin was sticking out of his torn coat pocket. He opened his newspaper and began reading. After a few minutes the man...
  4. D

    makonda na madereva watata

    mkh...mkh..mkh..
  5. D

    A marriage promise

    ah kudadake hiyo kali.... ha ha ha haaaa! hapo kama kidume ondoka uone..! ila kibongo bongo mara nyingi promise ni kitu cha kumridhisha mtu tu huwa haiwagi serious kama kwa watu wa mbele..!
  6. D

    Mjanja sio peke yako.

    dah mwana naogopa kuoa....!
  7. D

    mwana unaelewa haya mambo unayo andika lakini
  8. D

    Kaingia mkenge!!!!

    imekula kwa binti.. ila madada zetu si wanapenda kudanganywa.. demu ukimwambia ukweli anakuona unamdanganya ila ukimdanganya anaona kama ndio unasema ukweli
  9. D

    Ha ha haaaa

    hahahahahaaaaa asee unajua bangi inamixiwa na kitu cha unga siku hizi... haaaaahahahahah
  10. D

    Another mchungaji!

    hahaaa nimeipenda hiyo.. it is so funny..!
  11. D

    ......"mwanao ana mimba..."

    mama mmoja alimpeleka mwanae hospitalini ili dokta akamfanyie uchunguzi na kubaini ni nini kilichofanya awe na uvimbe tumboni ilmchukua dokta sekunde mbili tu kugundua na kusema.."mama hebu usinishangaze inamaana hujui kua mtoto wako anamimba..!?.. mwanao ana mimba..!" mama akaja juu na kuanza...
  12. D

    "kujifanya uko juu kunacost sana mazee dah...!"

    jamaa mmoja alikua anakaa kwenye kamji kadogo hivi..! sasa akafanikiwa kwenda kwenye school of law 'kusomea sheria'... baada ya kumaliza masomo yake akadhani ni vizuri arudi mjini kwao ili afanye kazi pale kwasababu hapakua na wanasheria wa kutosha..! alipofika akafungua ofisi ya mambo ya sheria...
  13. D

    uchungu wa uzazi bwana balaaa..!

    jamaa mmoja alienda kumpeleka mke wake hospitalini ili kujifungua...! kwakweli mama alikua kwenye hali mbaya sana ya uchungu.... walipofika dr akawaambia ametengeneza mashine ambayo inaweza kuhamisha uchungu wa mama kwenda kwa baba.. yule jamaa akakubali kuhamishiwa uchungu.. dr akamwambia kwa...
  14. D

    cheki hii "man in bar"

    There was this guy at a bar, just looking at his drink. He stays like that for half of an hour. Then, this big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy, and just drinks it all down. The poor man starts crying. The truck driver says, "Come on man, I was just...
  15. D

    Risala ya mkulima kwa JK

    kwa pembeni pale kulikua na jamaa anavua kiatu alitaka kumpiga ****** ila coz alikula kona basi jamaa akapotezea tu..!
Back
Top Bottom