Yani mm mda wote kinauma tena kinagonga vibaya
Sana sana mi kinauma upande mmoja nusu kichwa kuanzia kweny paji LA uso kuja nyuma ya kichwa upande wakulia hadi kwenye ubongo wa nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamii wenzangu
Nilikuwa naomba masaada wa dawa ya kuumwa kichwa kwa mda mrefu kwa maana Niko nasumbriwa na tatizo hilo kwa mda wa mwez mmoja na cjui nn tatizo dawa nimetumia sana
Mwenye msaada naomba mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau wa elimu mi naitwa David.
Nilibahatika kwenda kidato cha tano comb pcb mwaka jana(2018/2019) kwa ufaulu wa division 2 kidato cha 4.
Kwa bahati mbya nilifukuzwa shule mwak jana mwshoni nilikuwa nauliza naweza pata tena shule ya serikal kwend kusoma na kuanza tena kidto cha tano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.