Recent content by David kulwa

  1. D

    State power

    Wana JF msaada kwa anayefahamu maana ya state power anifahamishe
  2. D

    Msaada app nzur za android

    Wana JF kwa anajua app nzur za android ani fahamishe
  3. D

    Topic 2. The rise of democracy in Europe

    Nikichek hayo na mkumbuka teacher wangu wa history 2 kizuka high school Luteni gervas
  4. D

    Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali

    Maj general Ingram yuko vizur wakat nasoma kizuka high school alikuwa mkuu wa kambi 601kj ngerengere air base
  5. D

    Kuhusu second batch ya HELSB

    Wana JF naomba kuuliza iv bodi ya mkopo inaweza Kutoa 2 batch au ndo imeishia hapo
  6. D

    Kuhusu kufutwa majina ya mkopo

    Wana JF kuna taarifa zimezagaa kwamba bodi ya mikopo imefuta majina ya waliopangiwa mkopo na kuanza process upya kuna ukw wowote hapa ¿
  7. D

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Wana JF naomba kuuliza mim account yangu ya HELSB imeandikwa loan break down Bila % ina maanisha nn hii
  8. D

    UDSM chuo baba

    Hongeren viongozi wa ud
  9. D

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Bora ulivyo chukua maamuz magum kujilipia maana hii bod
  10. D

    Mji wa costantinople

    Jaman anaye jua history ya costantinople
  11. D

    Mwalimu nyerere Memorial University

    Wana JF kwa anaye kijua hiki chuo mazingira ya kusoma na hostel naomba anielezee
  12. D

    Naomba njia ya mawasiliano na HESLB

    Wakuu mwenye namba unayotumika na loan board anitumie maana kwenye website yao cjaiona
  13. D

    Loan board

    Wana JF naomba kuuliza iv inatakiwa uende na copy ya Ile form uliombea mkopo
  14. D

    Kufungua vyuo

    Wana JF naomba kuuliza iv vyuo vitafunguliwa pamoja au kila chuo kina fungua kivyake
  15. D

    Lectures wa mwalimu nyerere Memorial University

    Wana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
Back
Top Bottom