Recent content by David Appiah

  1. D

    Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Hivi Kuna watu wanakaaa na kujitahidi kudanganya washirika na wengine kwamba kesi hii bado inanguruma ila mwishowe plan zote zitafel tuu
  2. D

    Ushahidi huu hapa Mungu amekataza mapenzi kinyume na maumbile [ulaji tigo]

    Kuuua ni dhambi ndugu dawa ni kukemea tu na kuwaombea sio wao
  3. D

    Msaada: Fungus wa kinywaji

    Hospital specialist in skin
  4. D

    Mgogoro CUF: Abdul Kambaya awashambulia CHADEMA, JamiiForums

    Hivi nauliza kambaya ndio msemaji wa cuf au minimum jamani
  5. D

    Mifugo kilimo vinalipa

    Shark unafuga au kulima nini?
  6. D

    Mifugo kilimo vinalipa

    Kwa ushauri matibabu na mbinu za kufuga au kulima kwa gharama nafuu usisite tuwasiliane
  7. D

    PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

    Aliyeleta mwendo kasi alibuni njia sahihi ya kufanya biashara sijui kama ATCL wamejipanga vipi kukabiliana na ndege za kisasa
  8. D

    Ushahidi huu hapa Mungu amekataza mapenzi kinyume na maumbile [ulaji tigo]

    Dhambi ni mbaya sana ila wakati wa kuifanya huonekana kama ni kitu kizuri lkn kwa Sababu nyuma yake yupo shetani dawa yake ni kuokoka tu makatazo mengi hayatakuwa na tija kwa kuwa dhambi inakaa ndani ya mtu nje ni matokeo tu
Back
Top Bottom