[emoji16][emoji16][emoji16]mie nafikiri kuna mtu ndo anatakiwa akue. Mtu ambae anatumia muda wake ku criticize maamuzi binafsi ya mtu mwingine ambapo hayo maamuzi hayamuathiri yeye kwa namna yoyote. Huyu anatakiwa akue ajifunze ku mind their own business.
Anaetakiwa kukua ni ambae anakosoa...
point kubwa sana hii[emoji16][emoji16][emoji16] watu wanajikuta wanamjua huyo mwanaume kuliko hata zamaradi anavomjua.
Watu wanachukulia experience zao kwenye mahusiano ya watu wengine kisa wao walikua na watu wasokua waaminifu au walifeli kwenye mapenzi basi wanaona kila mtu atafeli
[emoji16][emoji16][emoji16] mie ni panick kisa gani? kila mtu aishi namna anavotaka. Nyie mnamuona ana unafki mnaongea mawazo yenu ambayo sio lazima iwe ndo uhalisia. Kila mtu anafanya kitu kinachompa furaha yeye binafsi afterall mapenzi hayanaga kanuni.
Sawa na ule ujinga wanawake wanaambiwa...
na mkitaka kuyafurahia lazima muende kihivo kitoto toto. mdekeze ic sio mnakaa wapenzi ila mpo kama mtu na baba yake wa kambo. ukitaka kumkiss anaona unaleta utoto. ataenda kutafuta wanaoweza kumdekeza afurahi.
[emoji16][emoji16][emoji16]sihitaji kukua ili kuelewa. Love is meant to be enjoyable. Kama wewe na mtu wako mnaishi namna flani na mna enjoy thats you msitake wote wawe kama nyie afterall kila mtu ana vitu anavopenda. Ndo mana mwingine hapendi kuwekwa public mwingine ndo furaha yake sasa...
it doesn't matter guys [emoji16][emoji16][emoji16]kitu cha muhimu ni furaha yake yeye binafsi sio furaha yenu nyie waja.
Kitu cha msingi kwake ni mume wake ameona amefurahi ametokwa na machozi[emoji16][emoji16] ile ni furaha yao wawili nyie msiopenda mtaita mnavotaka af uzuri hamna hata input...
mapenzi ni kitu ya kufurahia. Ninachoamini mimi ni;
Ukiwa na mtu unaempenda fanya kila kitu kinachokupa furaha. Siku yakiisha usijutie. Ishi, furahi mpk mwisho as long as anakupa furaha.
Huo ujinga wa eti cjui ulimbukeni cjui nini acheni kujikuta nyie ndo mnazijua kanuni za mapenzi...
ukifikiria kwa kutumia nguvu kidogo tu utaelewa. Hakuna mwenye akili ambae atakaa na shida yake amsubiri raisi apite ndo amueleze.
Ukiona mama kamfata raisi kuelezea shida yake uwe na hakika hajapata msaada katika ngazi alizopita huko chini ndo mana anaona msaada wake utatoka kwa raisi...
Pole ic. But sijui kwa wewe, ila wanawake wengi ni moja ya sabab wanaume wao wana cheat.
Why? wanawake wengi hawatimizi majukumu yao sawasawa.
Ingawa sio excuse ya mwanaume ku cheat lakini kuna wakati inaeza ikawa chanzo.
So kabla hujaanza kulalamika mwanaume wako ana cheat, kaa utafakari, Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.