Ww hujafika kenya ukajionea ama ukawa na wakenya. Wakenya weng matanir na pia masikini wapo. Kwa mfano angalia ata barabaran wakenya wengi wananunua magar ya kisasa ambayo hela yake kwa kwetu ni nyingi sana ila ukija tanzania wengi wetu tuko kwenye gar za chini ya 20M wakati kenya bila kuwa na...
Kwenye maisha naamin kika mtu anahistoria yake na anamagumu anapitia tofaut nanmtu mwinginr unaweza ukajiona umepitia magumu ama unapigia magumu kuliko watu wote duniani ila ukisikia yamwenzako unajiona unaafadhali. Sometime unaweza ukawa na pesa na zisikusaidie kutatuw tatizo lako.
Mkuu chakufanya ishu sio kuwa verified. Ishu utafute DAC ya HiFi alaf tafuda earphone zenye uwezo wa maana kama kz qkz etc unakula bonge la mzik kwenye simu laptop etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.