Recent content by Daudi Mchambuzi

  1. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

    Nimesoma hadi hapo kwenye jina la Benson Kigaila nikaishia hapo, nikaamua kuendelea na shuhuli zingine. Adios.
  2. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Enzi za utawala wa Dikteta Bashite aliwaambia wakijitokeza na mabango ya kudai haki atawatandika bakora hadharani.
  3. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Aisee ume-deep sana wewe imebidi nikagoogle maana yake 😂 ni wazi una za ndani sana, wamemdhuru au wamemfanyaje?
  4. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Mkuu safari hii mnatumia fundi wa wapi mbona kimya-kimya?
  5. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Watu wengi hawajui kwamba Siasa na Utumishi wa Umma ni vitu viwili tofauti, ndio sababu nilikubali Uteuzi wa Ubalozi!

    Hapana Dr Slaa, kwa hili utatusamehe tu kwa kweli 😂😂😂
  6. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Sawa ila mambo haya mwisho wake sio mzuri. Silaha ya mnyonge tena wa kijijini huko huwa ni kifo au ukilema.
  7. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Huu upumbavu upo Afrika tu, unaambiwa na Mchungaji ufunge hadi ufe na wewe unakubali

    Haha sawa m-Ukraine wa Kariobange.
  8. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Arusha kumejaa wazungu volunteer, whay not Mikoa mingine?

    Ikiletwa hapa ile video ya takwimu ya Team ya Mwakyembe utafuta hii comment kwa aibu 😂
  9. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Arusha kumejaa wazungu volunteer, whay not Mikoa mingine?

    hii nchi ni ngumu aisee
  10. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Huenda ombi la kununuliwa Darubini ni kuudhalilisha Uislam

    Haipendezi mtu kama FaizaFoxy kupanda juu ya mpapai usiku-usiku eti kuusaka mwezi ili tu kesho yake asifunge tena.
  11. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Huenda ombi la kununuliwa Darubini ni kuudhalilisha Uislam

    Hebu focus mkuu, Kipaumbele kikuu kwasasa ni darubini kali full stop.
  12. Daudi Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Huu upumbavu upo Afrika tu, unaambiwa na Mchungaji ufunge hadi ufe na wewe unakubali

    MK254 a.k.a kijana Pasta Mackenzie umefunga kwa siku ngapi mpaka sasa?
Back
Top Bottom