Nadhani issue si mikoa tu, inatakiwa iende zaidi ya hapo- ukubwa wa serikali. Wakati tukifikiri kupunguza wizara, mikoa, wilaya, tarafa na kata na agencies kama bodi ya korosho, maziwa, pareto, tukaongezewa idadi ya makatibu wakuu. Nasikia wizara zingine sasa zinao wanne!!! Mbona watu wawili...