daudi chanila
Member
- Mar 18, 2012
- 7
- 4
Wakati wa kusomwa bajeti ya mwaka huu, kulisemwa kuwa mkoa wa Mwanza ni wa mwisho kiuchumi. Mimi siyo mchumi wala mtakwimu, lakini siamini kilichowakilishwa. Hebu angalia vigezo vya hoja yangu.
i. Mkoa wa Mwanza ni ''hub'' ya uchumi wa kanda ya ziwa.
ii. Ni mji wa pili wa ukubwa Tanzania- na mnafahamu kwamba ukuaji wa miji ni kichocheo cha maendeleo hasa upande wa huduma za jamii.
iii. Ni miongoni mwa mikoa mitano yenye mifugo wengi zaidi
iv. Ni miongoni mwa mikoa miwili inayozalisha mpunga kwa wingi
v. Mwanza ni kiungo cha nchi jirani kama vile Burundi, Rwanda na Uganda hivyo mzunguko wa fedha ni mkubwa
vi. Mwanza imepakana na ziwa Victoria na iko karibu na mbuga ya Serengeti hivyo kuwa sehemu ya utalii na viwanda vya uvuvi na biashara shara zinazoambatana
vii. Imepakana na Mkoa wa Geita, Mara, na Shinyanga hivyo kuwa sehemu wa madini ya thamani sana kama vile almasi na dhahabu.
Kwa leo inatosha.