Recent content by daud chanila

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani kisheria au ni aina gani ya elimu mzazi anawajibika kumsomesha mtoto?

    Sheria ya Mtoto No. 21 ya 2019 kuhusu malezi ya mtoto inasema inasema ''until he is gainfully employed'' tafsiri yake inaweza kuwa ni hadi pale atakapokuwa ameajiriwa/ameweza kujiajiri.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya wanawake: Wajue wanawake 8 Magangwe waliobadili historia ya dunia

    Kwingineko- wafikirie Margeth Thatcher (iron lady), Indira Gandhi na Mama Theresa wa Calcuta
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atumia mamlaka yake kuanzisha Ofisi Huru ya kitaifa ya kuendesha mashtaka, kuwa mbadala wa ofisi ya DPP

    Kama inaanzishwa na serikali itakuwaje huru mbele ya serikali?
  4. D

    JamiiForums Tanzania TRA: Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti binafsi ila Kanisa lina akaunti yenye Sh. Bilioni 8.1; amemwomba Rais radhi

    Mnakumbuka hadithi ya mwanambuzi na simba? Wasiioijua wataisikia siku nyingine. Ila kwa hili naona kuwa kati ya hawa wawili (serikali na Askofu Kakobe) mmojawapo ameshika makali na mwingine mpini. Hapo haki imeshatokea dirishani.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Serikali iandae mahabusu za kutosha wana CHADEMA wote kwa sababu tunapanga kuandamana tena

    Rights are not given on a golden plate, are fought for
  6. D

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Serikali iandae mahabusu za kutosha wana CHADEMA wote kwa sababu tunapanga kuandamana tena

    Rights are not given on plate, are fought for
  7. D

    JamiiForums Tanzania Magic FM na Salum Mkambala

    Mimi ni mpenzi wa magic fm kipindi cha magazeti na uchambuzi. Kwa kweli mimi kama one of the great thinkers naona kituo hiki kina watu bora kabisa katika uchambuzi wa issues. hata sikushangaa niliposikia kuwa kibwana dachi alipewa kazi serikalini ( kumbe ulikuwa ni utani). Mimi naona tatizo...
Back
Top Bottom