unadhani ana mapenzi basi? anataka akuonjee tu.. since umesema hajawahi kukuonjaa! baadhi ya wanaumee hawaeleki.. ukimwendekeza anaezaa akakubebesha na pia kukuachaa.. kua makini!
Habari wanafamilia,
Kumekua Kukitokea Tatizo Ambalo Linasababishwaa Na Unyawaji Wa Haya Madawa Ya Antibiotics(nikimaanisha kitu kama Allergy)
Ambapo Mtumiaji Wa Antibiotics Anakua Anapata Reactions Sehemu Za SIRI. Kunatokea Muwasho Wa AJaaaabu Usioishaa Na Wakati Mwingine Hutokea Vipele Na Hua...
yaaah ni vemaa it shows how much yur close to one another ukaribu wetuu umoja wenuu.. things kama hivyoo kula pamojaaaa, kuoga pamojaa, kutembea pamojaa sometimes vinakufanya unajihisii upo comfortable zaidi na mpenzioo.:glasses-nerdy:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.