Pole kwa utapeli uliowah kufanyiwa na huyo bint. Hata useme kitu gan watu wako online muda ote kujibu hoja. Nilichogundua humu kuna walio jiandaa kumchafua Kapuya, hata kama iwe kweli ana record chafu, mbona mmemganda hivooo jaman? Ninyi ni watenda mema sana hapa dunian? Kwakua mlifaham mambo...
Kwaivo unataka umfuje mtoto Wa mwenzio bila huduma! Tena walalamikaji Wa aina hii huwa hawaoi na hawana mpango wa future. Wapo kwa ajil ya kufuja wenzao tu. Unataka umjali kwa lip? Maji ya uzima? Unayo? Km unayo mpe. Mwanaume beba majukumu yako hapo.
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye herufi A-B na L-Z.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.