Recent content by dasalemu

  1. D

    Ndimara: Kikwete, mmechelewa kuliita Jeshi

    Kweli lizabm na ww ni janga! mbona ww ni mtoto asiyerizik hatusemi! acha matusi changia hoja
  2. D

    Ndimara: Kikwete, mmechelewa kuliita Jeshi

    changia hoja acha kashfa. Kwani jk ni mungu au malaika? Kwanza unamjua vizuri ndimara au umetoka chooni bila kunawa umeingia jf. Ndimara ni kichwa kuliko unavyodhani au umelewa pijau la pasaka ?m.....o !
  3. D

    Mizengo Pinda: Hata sisi tutazunguka nchi nzima kuwaeleza wananchi, na watatuelewa...

    jina lako linatosha kujua ww ni mtu wa fikra za aina gani pole na hujitambui inawezekana nawe una maslahi na intarahamwe
  4. D

    1+1=2, (Serikali ya Tanganyika + Serikali ya Zanzibar = Serikali mbili) Mbona wagumu kuelewa?

    Naitaka nchi yangu tanganyika. No discussion. Tatizo lukuvi na genge lake la intarehamwe wanafikiri kuwa wao kuwa viongozi wanashikilia hata akili zetu na kwamba ambaye hayuko nao ni mjinga- no! Kila m2 anahaki ya kusimamia anachokiamini. Hebu tupige kura ya maoni.hatutaki watu watatu watuamulie...
  5. D

    Makosa kumi kabla wakati na baada ya kususia bunge maalum la katiba.......!!!!

    Usitupe masharti endelea na bunge na genge lenu la intarehamwe! Tunawasubiri kura ya maoni. Mmepeleka lukuvi kanisani kutafuta kuungwa mkono! Mpelekeni na wasira msikitini. Wananchi tunataka maendeleo hata hiyo katiba mlioichakachua hatuitaki.bakini nayo dodoma. Umeamua kukimbilia jf kwani hapa...
  6. D

    Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Vya kunyonga vina mwisho wajameni
  7. D

    Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Naafiki uamuzi huu kuimarisha kwa 100% nafarijika na kutamani kambi ya upinzani kuunganisha nguvu uchaguzi mkuu mwakani na serikali za mitaa mwaka huu. Hakuna kulala mpaka kieleweke! Big up. Tunataka uwazi weledi na uwazi
  8. D

    Samweli Sitta anasitahili kutunukiwa Tuzo ya uongozi bora Tanzania?

    6 akifanya vizuri apongezwe akikosea aambiwe! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  9. D

    Kongamano kubwa la CHASO Arusha leo 12/4/2014

    Na nyie mnaojiita wasomi mkiwa vyuoni chadema mkihongwa kidogo mnajiondoa akili na kuhamia gambani kama mmesoma mnabaibaka nn? Mwenzenu pale udsm wiki mbili alidanganywa na kuahidiwa kushikana mkono na brother k. Akawa chizi na kuhamia gambani. Acheni ujinga wa kudanganyishiwa pipi. Komaeni...
Back
Top Bottom