ukimwacha mke wako pasipo na sababu ya uzinzi nawe utakuwa uanzini. Na huyo utakaye muoa mpya pia utakuja mkinai kwani ni kawaida mwanamume kukinai mke haswa baada ya kukaa nae muda.
mwisho ni kwamba unaweza pata mke mwingine shida mpaka ukatamani kumrudia huyo wa kwanza.
Ndoa ni uvumilivu siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.