Recent content by darmmy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Call for interview EFC Tanzania M.F.C LTD

    Cjajua unaenda interview post gan, bt kama ni loan officer kipind naacha kazi mwaka jana june gros salary ilikua500,000 net ilikua 405,000. interview inakua ya kawaida tell us about urself, shika duties za post waliyokuita na kama ni loan officer lazma ujue njia njia za kupata customers kama...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Call for interview EFC Tanzania M.F.C LTD

    sio kwamba nimekuja kuongeza idadi ya post nilitaka kujua payment na kazi zao zpo vp coz nishawahi fanya kazi FINCA na saiz nafanya business iringa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Call for interview EFC Tanzania M.F.C LTD

    Habari wadau? nimepigiwa cm leo saa nne na watu wa EFC kwa ajili interview kesho saa tatu lakini mimi nipo Iringa.Anaewajua vizuri hawa jamaa anijuze kama vipi nisafiri jioni ili kesho niwe dar
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Plc Lake Zone: CLOSING DATE: 23rd May, 2014

    nikiona CERTIFIED gafla naichukia hyo taasisi, mana ni gharama na maisha n magumu. mafanikio mema mtao apply
  5. D

    JamiiForums Tanzania sehemu za kupeleka barua

    Ndugu wana jf nimesomea accounting naomba nisaidieni sehemu ambazo hawajatangaza kazi lakin naweza peleka barua za maombi ya kazi
  6. D

    JamiiForums Tanzania jamani hamna aliyeitwa internal investigator TRA ATUJUZE TUSIJESUBIRI HEWA

    bado kijana. kuwa na subira
  7. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu kazi za town ambazo kama umemaliza chuo unaweza ukajishikiza bila aibu hapa dar

    man we jembe watu wanadharau tu. hata mie kuna kaz nilikua nadhalau ya kusuka vikapu baada ya kutimuluwa kaz, bt saiz nasuka vikapu na ninasave kila wiki laki moja nusu bank. jaman tusichague kaz
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wateja wa mbaazi

    naona umepote njia co mahala pake hapa, nenda sokon utawakuta
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya SUMATRA kufuru

    co tatzo lake ndo katoka chuo jaman bado yuko polin na rambo ya nguo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Cashier

    kampun gan make maswal yanatofautiana baina ya kampun. mfano access unapewa hesabu za mafumbo ya kawaida ya kufikilia, wanaweza uliza elfu tano ina mnyama gan hyo ni kwa upande wa written. Bt oral ujue job discription na maswal mengine ni common
  11. D

    JamiiForums Tanzania Access bank

    mwaka juzi walikua wanaanza na 190000 then inapanda mpaka 370000. bt mi nilikimbia baada ya wiki mbili target ya four client per month niliona ngumu, nikaingia FINCA. Ukiingia kaza butu sana make inaitaji kujituma na uwe na uwezo wa kuongea
  12. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutimuliwa kazi wacha nirudi tena kitaa kutafuta tena kazi

    Tuliandika barua kwa chief excutive director aje kwenye branch iliyopo iringa aje asikilize matatizo ambayo branch wameshindwa kuyatatua. cha ajabu wakatulitea kamata ya nidhamu wakidai tumevunja sheria kwa kuandika barua, pia tumegoma kufanya kaz. mwisho wa siku tukafukuzwa watu kumi na tatu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutimuliwa kazi wacha nirudi tena kitaa kutafuta tena kazi

    habar wana jf, nasaka tena job baada ya kuwa terminatedmwezi june.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal bank

    ndio kusema hawa jamaa wametuchinjia baharin nin. make kila mtu nikimuuliza anasema kimya
  15. D

    JamiiForums Tanzania Net Pay TZS 960,000

    Siyo mbaya sana ila makato tu ndio yanakela
Back
Top Bottom