Recent content by darling-tone

  1. darling-tone

    Re: Anatafutwa architect

    division 5 huwa haijifichi. hukuelewa kilichoandikwa period.
  2. darling-tone

    Mgonjwa atoka na kisu wodini na kukimbiza watu

    hili nalo neno. ila si huwa wanamenya matunda wodini?
  3. darling-tone

    Re: Anatafutwa architect

    Weekend aje aje? Je wewe ni msanifu majengo? mimi ni mtanzania wa kawaida (wa kima cha kati ) ambae ningependa kupata ushauri kuhusu ujenzi pamoja na ramani ya kibanda kama tukielewana. Kama wewe ni wa fani hiyo kutoka chuo cha Ardhi ninaomba tuwasiliane kwa inbox. Ahsante.
  4. darling-tone

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Dahh doctor Ole amekufa? Yule baba ilikuwa ukienda kwake unaumwa hata kuongea ni ishu ni siku mbili tu ushapona ila gharama ndio shughuli pevu. Duhh Madoctor wengine hata sina imani nao pale. Aliyejenga jina pale ni Ole pekee
  5. darling-tone

    Dalili za uchungu ni zipi?

    Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajua
  6. darling-tone

    Nile nini ili kuongeza wingi wa damu

    Mkuu Unamwambia marehemu amtafute mzizimkavu?
  7. darling-tone

    Dalili za uchungu ni zipi?

    Tarehe ndio hizi. Nitajuaje haya ndio maji ya chupa yamepasuka?
  8. darling-tone

    Nile nini ili kuongeza wingi wa damu

    Masikini ...duhh poleni bandugu. Isije ikawa no tatizo hili hili lilimuondoa...eehh Mungu tusaidie manake wengine tunasubiri kikombe ambacho kukipita ni kifo tosha
  9. darling-tone

    Dalili za uchungu ni zipi?

    Na chupa kupasuka Ina maana ni kitendo cha kutoa maji mengi?? Dalili za kuharisha ninazo, mgongo kuuma na kuacha pia, kichwa pia kwa mbali sasa sijui ndio wenyewe
  10. darling-tone

    Dalili za uchungu ni zipi?

    Wakuu heshima kwenu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu wa mambo ya uzazi wanisaidie tips kuhusu dalili za uchungu wa kujifungua. Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana. Naomba msaada wadau wangu.
  11. darling-tone

    Nile nini ili kuongeza wingi wa damu

    Naona RIP kwani alishakufa?
  12. darling-tone

    Kodi ya RAV 4 ya 2005

    @lucky sabasaba jaribu kuwaelewesha hawa.... unaweza jiridhikia na CIF yako ya hukooo ulikonunulia ila yai likitua bandari ya dsm ukaona mahesabu yanavyonyanyuliwa. TRA ni majangili a.k.a wezi asee
  13. darling-tone

    Kodi ya RAV 4 ya 2005

    Hiki ni kiini macho, ukiitegemea hii calculation utaabika mtu mzima kwani TRA wanaangalia market price na sio CIF ya ulikonunulia. Nina hadi vielelezo ukitaka nakuonesha.
  14. darling-tone

    Kodi ya RAV 4 ya 2005

    Nilishangaa hata mimi. HADI GARI YAKO IWE BARABARAI JITAHIDI UJIANDAE KWA HELA NYINGINE KAMA ILE ULIYOAGIZIA KULE (hiyo unayoandaa ni kodi, agency fee, sijui malipo gani kule farion (hapa itategemea unatolea geti gani, kama utachelewa kuprocess TIN number jua kuna storage charges na mengine kama...
  15. darling-tone

    Kodi ya RAV 4 ya 2005

    Gari ya 2008, bei yake ilikuwa M. 18 kodi M.13 jumlisha na mengine yote mpaka kuwa barabarani ilifika kama M. 38 hivi. Jamaa hawaangalii bei ya japan. Jamaa wana system yao ambayo wanakwambia hawaangalii CIF , ni kama wanakomoa vile.
Back
Top Bottom