Recent content by Darkhorse001

  1. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Mkuu Kwanza, Pole sana Kwa changamoto unayopitia. Pili, ni kweli madaktari wanavyosema, yawezekana kisiwe na uhusiano wa moja Kwa moja kati ya dalili unazozpitia na ule upasuaji uliofanyiwa. Tatu, mafua yasiyokoma inawezekana ni ALLERGIC RHINITIS. Nne, hzo dalili zote zinaashiria changamoto...
  2. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Dah🥲 Mpaka nimeipata huzuni Mimi, Binti wa watu anakufa kwa kulipia dhambi za JC!? Mapenzi 💔🤔 Ila moto wa mjomba wake Bertha....😔😔
  3. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Kaka Elton Tonny ...vp Bado umetekwa na madam Bertha 😂 Tushushie mwendelezo tumalize weekend 🥳
  4. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Bertha Tena? Kumbe hakufa? Bro...hiki ni zaidi ya kuwa choo Cha kike 😂
  5. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Ila hii care ya Mimi 😊
  6. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Dah Machozu ya Adelina 💔🌝
  7. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Kwann lakini 😂 Mtoto na shape lake kabsa Ila JC buana, kwahyo kapiga mtu na dada ake
  8. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Dah Nampenda sana Mimi ila kumfanya Adelina alie ni jambo linalohuzunisna kiasi chake Ila ngoja kwanza..we JC, mbona hujamuuliza kuhusu Festo? Una uhakika mahusiano yalikuwa hayaanza? Mwamba atakuacha salama kweli? 😂
  9. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Tuwe watulivu Hii story ni uhalisia 😂 Kwahyo mpaka matukio yatokee ndio tuandike
  10. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Dah We Mimi 🌝 Sema utulivu wa Festo ni moto 🔥 Jamaa ana akili sana, Huwa hatumii hisia kwenye haya mambo
  11. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hii collabo ya Meya Max na RC Makonda, Gambo hachomoki

    Sawa meya Tumekusikia
  12. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    We Adelina ww 😂🔥
  13. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

    Pole sana mkuu Mungu akutie wepesi katika kipindi hiki kigumu Apumzike kwa amani 🙏
  14. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    😂😂 Baada ya Elton Tonny kurudi, Singano jr akapotea 😂😂
  15. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Festo kama kawaida yake...jamaa ni mpole sana mbele za watu 😂 ila kumbe mafia wa kuogopwa Sema Mimi buana 💔🌝
Back
Top Bottom