Recent content by Dar Express

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa Kigoma na uongozi wake wote watimkia ACT

    Aliwahi kuondoka KABOUROU,SHAIBU AKWILOMBE,KAFULILA,LUSINDE na mchumia tumbo Zitto,Mwigamba,Kitila na Cdm ikabaki Imara. Hao walikuwa wanachama wa kawaida sana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

    January mpaka sasa ana Legacy gani mpaka awaze urais? NENO URAIS LIMESHAKUWA MTORI.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tenda ya kupeleka vitu vifuatavyo, eneo lolote Arusha

    Namiliki Fuso na Isuzu, nahitaji tenda ya kusambaza udongo, kokoto, mawe, mchanga na moram katika sait ama eneo lolote hapa Arusha Bila longo longo na kwa muda mfupi tunarekebisha eneo lako la ujenzi kwa kutuagiza material tajwa hapo juu. Pia tunakuletea matofali kwa bei rahisi popote pale...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sikuhonga na simjui mtu lakini nimeitwa uhamiaji

    Unatumika.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Pata Viwanja Moshono hapa,hakuna Udalali.

    Tunauza Viwanja kwa bei nafuu ktk kata ya moshono. Mita 25 kwa 15 tupe milioni 10 Nyingine nyingi. Nipigie 0764 291222
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

    Ccm wote ni wachovu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikutano ya CCM mingi inakosa vijana

    Ccm ni mbwa zee kibogoyo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA kuwasha moto Jangwani, Dar es salaam - Jumatatu

    Sema kibatari kimewashwa kitafune kodi zetu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Mwanasiasa mwenye ndimi zaidi ya mbili

    Tupia picha tuamini
  10. D

    JamiiForums Tanzania Joshua nasari na visima meru

    Mbona nyie maisha bora yamekuwa kitendawili?
  11. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasababisha Dr Hamisi Kigwangala kukataliwa jimboni kwake

    Siku za Said Bagaile kula Nzige wa Nzega zinahesabiwa na Hussein Bashe!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kauli za RC Mulongo ni Uchochezi Mtupu

    Wanajamvi Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha. Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga...
  13. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

    Sinema za Mwigulu zimeanza.
  14. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kanusheni yanayosemwa kwenye Video hii....

    Simu za mchina hizi,fafanueni.
  15. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA haikutakiwa kuijumuisha CHADEMA

    Ukawa kwani imesajiliwa na kufanyiwa matangazo lini? Akili za kata hizi
Back
Top Bottom