Recent content by dapangi

  1. D

    Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Wewe sio Gwajima, Askofu, bali umetumia jina ( liwe ni lako au la kujipachika) kwa kusudi lako unalolijua. Haitafanikiwa ndio maana imeandikwa. " Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa. Na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu, utauhukumu kuwa mkosa" Majeshi majeshi ....
  2. D

    Corona iko maeneo gani Tanzania?

    Njaa inatusumbua.
  3. D

    Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uwekwe wazi wananchi tuusome kuepusha upotoshaji unaoweza kufanyika

    Home Expert Speak Falling Apart – A story of the Tanzanian Bagamoyo Port Project 15 September 2020 PRACHI MITTAL Tanzania’s Bagamoyo Port Project charted a new trajectory in China and Tanzania relations. Despite several negotiations and diplomatic discussions, the port project did receive a...
  4. D

    Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mkataba ndio tatizo. Kama ndivyo unaanzishaje mazungumzo bila kurekebisha? Mazungumzo yalishavunjika kwa sababu hiyo. Au tinaenda kukubali yaishe?
  5. D

    Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

    Ni mfumo mzima. Nape aliingia mtegoni. Alipojaribu kusimamia haki na sheria mafuriko yakamzoa. Watanzania tulikuwa tumeshikwa pabaya awamu ya tano. Unaimba mapambio ya kusifu huku unagumia kwa maumivu.
  6. D

    Kuhusu dai la Katiba Mpya, Rais Samia shituka

    Hitaji la Katiba sio la wanasiasa tu. Ni la wananchi wote. Asieona hitaji hilo hajitambui. Huyo ni bora liende. Kuanza mchakato upya ni takwa la kikatiba kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba Wala sio suala la utashi wa mtu au kisingizio hekima au busara.
  7. D

    Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

    Wakipewa hatutakuwa na Tanzania. Tutabaki na Tanganyika.
  8. D

    Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

    Mbona hawakufanya hiyo kazi miaka mitano iliyopita? Au walikuwa likizo? Nani aliwazuia wasiifanye hiyo kazi?
  9. D

    Hivi ni kwanini asilimia kubwa ya wanaotolewa mapepo makanisani huwa ni Jinsia “Ke” tu?

    Usisahau kuwa pia wanaopandisha au kulipukwa na mapepo katika maisha ya kawaida katika jamii na mashuleni wengi ni wanawake na wasichana. Wanaume ni wachache.
  10. D

    Hayati Magufuli alipigana vita ya kiroho pasipo kujua

    Yupo. Na kwa taarifa yako kuna dalili ya sisi kujiunga naye baada ya Marehemu Magufuli kuondoka. Yeye kwa dhahiri alikuwa anapingana na mkuu huyo.
Back
Top Bottom