Mwalimu Nyerere alikuwa mbunge wa morogoro mjini 1953 baadae akajiudhuru. Sio kweli kuwa hakuwahi kuwa mbunge. Kama umetudanganya hili tu basi hufai wala hutufai
Mkuu ulitaka picture niipigaje ili isionekane nimeipamba?? Nifundishe niko tayari kujifunza kupiga picture vizuri zaidi. By the way achana na michepuko barabarani baki njia kuu yasije kukutana ya kibonde
Wana Jf, kumekuwa na malalamiko mengi humu jamnvini kuhusu kiburi cha watangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM kuwa juu ya sheria za nchi kwa kufanya mambo watakavyo.
Leo mmoja wao ameonja joto la jiwe baada ya kujifanya mbabe na kumtukana askari wa usalama barabarani Leo asubuhi, picha...
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu...
Leo kwenye kipindi cha Agenda 2015 -Star TV msemaji wa UVCCM Paul makonda amewatukana matusi ya nguoni wabunge na viongozi wa CHADEMA na CUF,,BAVICHA tunatumia nafasi hii kumuonya vikali kijana huyu tunamtaka ajue kuwa hakuna mtanzania zaidi ya mwingine, mara nyingi amekuwa Akialikwa vyenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.