Acha kusali ma kanisa ya ajabu ajabu .
Kanisa ni Roman Catholic tu . Wengine wezi tu. Ukitoa wa sabato . Kkkt Unatoka hela ya Kumlisha Pastor na familia yake na michepuko yake .
After sadaka no one cares. Tafuta kanisa la maana .
Issue hiyo ndo nimesema Kama kuna growing numbers of opposition . Ni swala mda mambo yako kuwa magumu kila upande . Politics ni ku balance haters and lovers . Wengi wakizidi lazima Ilete shida
Mugabe na this government amna tofauti . Mugabe was not accepted internationally so will be the next president . Sasa watu wameforce hivyo hivyo . Ending yake we will be watching .
Tatizo kubwa ni growing numbers of opposition . Kama kila mtu anakupinga na auna watetezi wa Maana . Amna kitu...
I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa ...
I will be short
Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .
This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number .
Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.