Recent content by DanielkulwaNyawayi

  1. DanielkulwaNyawayi

    GE2020 Uzi maalum kwa watia nia ubunge unaowahisi jimboni kwako

    Kumbe Angelina Mabula ni wa Nyamagana ahahahaah utabri wako ni wa uongo huo hata wabunge uwajui
  2. DanielkulwaNyawayi

    Kutekwa kwa Mohammed Dewji: Ni uharamia wa kimataifa?

    Ngoja police wafanye kazi yao
  3. DanielkulwaNyawayi

    Uvinza, Kigoma: Waziri Kangi Lugola ataka dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili

    Hongera sana mh waziri kwa ilo lakini sijaelewa ni sheria au ni tamko tu akija waziri mwinginr naye atatamka vingine!!?
  4. DanielkulwaNyawayi

    Kumbe Rais Magufuli alimchukua Antony Mtaka kundini, wakati alionekana hafai

    Rais ndiye aliyesema ivyo kuwa ni wa kwanza au wa pili katika ma RC wote tz
  5. DanielkulwaNyawayi

    Video: Rais aliyechaguliwa na Wananchi hahitaji Ulinzi mkali wa kutisha

    Mbona unanipa jibu tofauti na swali langu nimeuliza hiyo sare ya jeshi la nchi gani?
  6. DanielkulwaNyawayi

    Video: Rais aliyechaguliwa na Wananchi hahitaji Ulinzi mkali wa kutisha

    Sale ya jeshi la nchi gani hiyo wakuu ya hao baadhi ya jamaa wenye slaa za kivita!!!?
  7. DanielkulwaNyawayi

    Wanandoa wengi hawapendani

    Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.
  8. DanielkulwaNyawayi

    Anataka nimzalie mtoto ilihali mimi na yeye tuna mwezi mmoja kwenye uhusiano

    Kwani kuna kanuni inayosema uombwe mtoto baada ya muda gani!? kama ni wakubadili anabadilika tu hata ukimpa mtoto baada ya kukaa nae miaka miwili kibwa uwa ni maridhiano na mipango mliyonayo au malengo.
  9. DanielkulwaNyawayi

    Kangi Lugola amuweka ndani Mkuu wa Kituo cha Polisi kwa kushindwa kuwaweka mahabusu watuhumiwa wanne

    Safi sana kwa ilo mh waziri wa mambo ya ndani kumbe hawa jamaa wanaangaliaga sura watu wa kulala mahabusu na ambao si wakulala mahabusu,!?sababu chumba kimejaa kwa mtu wa kawaida wangebananishwa ivyo ivyo kazi nzuri waziri.
Back
Top Bottom