Nchi kama Mauritania, Libya, Namibia probably ni kubwa kuliko Tanzania na population ni ndogo mno!
Kuna namna Tanzania hatuko Sawa, itafika kipindi nchi hii itakuwa haikaliki na itakuwa too much!
Sikatai tusizaane na kuongezeka ila Twende kwa plan,
Wew niulize population ya Canada na ukubwa...
Aisee [emoji119][emoji119]
Parefu mno kwa maisha ya kibongo,
Natamani nikushauri ubaki Bongo ule mema ya nchi,
Ila no way Go to USA kwasababu ya future ya Generation yako na kupave a way ya fursa zaidi,
Ili ufanikiwi sometimes inabidi ufanye maamuzi ambayo wengine watahisi umechanganyikiwa,
Kwa mwaka heri yako wewe maana ni 15K malipo ya card plus 24K Makato yako ya mwaka jumla ni 39K,
Mimi stanbink kwa mwaka Makato yote 180K, nikaona this is too much, siweki hela tena uko.
Yes Mkuu mrejesho ni muhimu, mpaka sasa biashara yangu ina miezi 6, na naweza kusema inafanya vizur, kwa maana inakuwa,
Lakini nilifanya modification kidogo nanunua vinjwaji kwa bei ya jumla, ila nauza kwa reja reja, (hii ni nzuri kwa maana bei zangu kwa reja reja ni nzuri pia) ila Mwakani Nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.