Search results

  1. KingPower

    Nilimfukuzisha mume wangu kazi na sasa amenitelekezea Watoto

    Hii story mbona kama yakutunga, Ila ni nzuri ina elimisha
  2. KingPower

    Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Nchi kama Mauritania, Libya, Namibia probably ni kubwa kuliko Tanzania na population ni ndogo mno! Kuna namna Tanzania hatuko Sawa, itafika kipindi nchi hii itakuwa haikaliki na itakuwa too much! Sikatai tusizaane na kuongezeka ila Twende kwa plan, Wew niulize population ya Canada na ukubwa...
  3. KingPower

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Mkuu nimetamani Sana ila kwa mwezi wa pili sina hakika Sana naomba hii ijirudie tena kwa mwaka huu miezi ya mwishoni uko, Niko very much interested.
  4. KingPower

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dah, sasa klop anaondoko who is next? Pep or Alonso?
  5. KingPower

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Aisee [emoji119][emoji119] Parefu mno kwa maisha ya kibongo, Natamani nikushauri ubaki Bongo ule mema ya nchi, Ila no way Go to USA kwasababu ya future ya Generation yako na kupave a way ya fursa zaidi, Ili ufanikiwi sometimes inabidi ufanye maamuzi ambayo wengine watahisi umechanganyikiwa,
  6. KingPower

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Kwa mwaka heri yako wewe maana ni 15K malipo ya card plus 24K Makato yako ya mwaka jumla ni 39K, Mimi stanbink kwa mwaka Makato yote 180K, nikaona this is too much, siweki hela tena uko.
  7. KingPower

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Chuma 0 - 2
  8. KingPower

    Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

    Aya Mambo aya, , Ndio maana Sisi Waafrika hatuendelei
  9. KingPower

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ntakuwa mtu wa mwisho kuamini, Nunes atakuja kuwa world class player,! Aisee, Una Gapko Una Jota unaanzaje hawa watu kuwaweka Bench? Mbele ya Nunes?!
  10. KingPower

    Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    Acha tujipe muda,! Maswali magumu yote yapo katika muda
  11. KingPower

    Biashara ya Vinywaji Baridi Kwa Bei ya Jumla

    Mkuu naweza kusema Tunaendelea vizur,
  12. KingPower

    Biashara ya Vinywaji Baridi Kwa Bei ya Jumla

    Yes Mkuu mrejesho ni muhimu, mpaka sasa biashara yangu ina miezi 6, na naweza kusema inafanya vizur, kwa maana inakuwa, Lakini nilifanya modification kidogo nanunua vinjwaji kwa bei ya jumla, ila nauza kwa reja reja, (hii ni nzuri kwa maana bei zangu kwa reja reja ni nzuri pia) ila Mwakani Nina...
  13. KingPower

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Shukrani Mkuu
  14. KingPower

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mwenye kujua namna yeyote ya kuangalia huu mpira online, anisaidie Kops?!
  15. KingPower

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ivi akuna mtu yeyote mwenye means hii game nikaiangalia online, atleast kipindi cha pili,?
  16. KingPower

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kops naomba app nzuri ya kutazamia mpira!
  17. KingPower

    Kuna mtu kaniletea fruit package but since nimekula najiskia kuzimia

    Pole Mkuu ila kuna kitu cha kujifunza pia hasa kwa sie tunaoamini watu bila tahadhari
  18. KingPower

    Msaada nataka kununua Suzuki Swift

    Bajeti yako Tsh ngapi mkuu?
Back
Top Bottom