Recent content by Daniel_Makala

  1. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi

    Waboreshe na mfumo wa matumizi ya intaneti yani iyo 4G ya voda inakula sana bando asee yani siopoa kabisa
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki

    Utakulaje kitu ambacho huna ham nacho alaf wanawake ni best coz siwezkua nachat na boy everyday kuwa na urafiki na mwanamke inawezekana sana tu kwa mwanaume anaejua nn anafanya
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki

    Mm sjasema nataka mpnz wakupeana hela
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Ukikutana nawale wanyonya koni lazima ugugumie
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki

    Naitwa dany from singida tanzania (25) naitaji rafiki wa jinsia yyt kunzia 18-25. Mtu awe serious na anaejitambua kwaajili yakupeana company (0746893854) whatsap
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Hahah
  7. D

    JamiiForums Tanzania Unamlindaje Mwanao Mtandaoni?

    Watoto wa skuiz utawalindaje uko facebook wafanya biashara ya ngono wamezagaa vitu njenje
  8. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu wamekusanyika Kuchukua Maji ya Upako Bukoba

    Hyo ni biashara hakuna imani apo
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Daah pole sana kaka, hiyo inauma sana. Kwanza zingatia familia yako na huyo mwanamke kama unaweza ingekua ni me izo meseji ni ushaidi wawe kufanya maaumuzi sahh uyo hakufai apo ukiteleza kiuchumi na mama yake atamshauri akuache kwakua tyr ameshachuma pesa zako. #PIGA CHINI UYO MWANAMKE KAKA HAO...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Noma sana
  11. D

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Daah hawa wametisha
  12. D

    JamiiForums Tanzania Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

    Acha watu wale nyama uyo mdudu ni mtam sanaa
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unahisi vipi ukimpigia na kumtext mpenzi wako halafu yeye akujibu tu text bila kukupigia?

    Hlo sio la muhmu sana kikubwa amekuta umemtafta na akakutafta angekaa kmya apo ndo ingekua jau
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Hawa watu kiu yao nikuona maandamano mitaani haki haipatkani kwa njia hyo
Back
Top Bottom