Recent content by Daniel_008

  1. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda's resilience and character serve as an inspiring example for all of us

    Resilience [emoji848][emoji848] What resilience are talking about?
  2. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri Serikali kuweka mtaala wa kufundisha Watoto kalenda ili kuzuia Mimba za Utotoni

    Mimi naona cha muhimu kuwafunza wazazi kuwalea watoto wao kwa maadili.. Maana these days maadili yamepolomoka unakuta mtoto anavaa sex cloth.. Yaani all things is about sex.. na wazazi wanaona tu na wametulia.. Hiyo kalenda bado haiwezi kusaidia kama wazazi wako ivo.. Hata ivyo iyo elimu...
  3. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kumwaga mabilioni Halmashauri ya Chalinze

    Siasa na utendaji ni vitu viwili tofauti.. Anyway ngoja tusubiri tuone..
  4. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunakusudia kuchanja Watu 100,000 kila siku

    Kwani johnson&johnson haitoshi mpaka iyo nyingine.. Alafu kwanini isiwepo chanjo moja maalumu..
  5. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Maandamano Eswatini: Mfalme Mswati akubali nia ya kufanyika mazungumzo

    Naona wameamka usingizini maana uyo mfalime anatawala kwa matakwa yake binafisi.. #The world won't be the same
  6. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Mchungaji aomba msamaha kwa kukataza waumini wake kutumia ARV'S na kusababisha wengine kufariki

    Sioni sababu ya kuulaumu ulokole maana kila mtu ameumbwa na akili za kuchanganua.. Ukiona unaakili za kumtegemea mtu basi wewe huna akili kabisa..kuna msemo unasema akili za kuambiwa changanya na zako..by the way kuna bible naona kila kitu kimeelekezwa humo so mi naona ukifata vile bible...
  7. Daniel_008

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) inaendesha mambo kisiasa?

    Na pia hata waliopata hawajapata kama inavyostahili!
Back
Top Bottom