Recent content by Daniel2

  1. D

    Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

    Huo ni ugonjwa na unatibika cha muhimu ni lengo lako kwake kama kweli unampenda na utamsaidia kumtafutia tiba
  2. D

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hongera sana Prof Jay,hope uwezo wako wa kuandika mashairi yenye ujumbe na mpangilio mzuri utakusaidia kujenga hoja zenye mashiko kwa maendeleo ya jimbo lako na Taifa kwa ujumla
  3. D

    Wino wa kuhakikisha mtu aliyepiga kura unakausha na kupasua vidole

    Wino umekua mgumu kutoka kidoleni ila kupasua kidole ....No
  4. D

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Mdau nina iphone 5s imejilock na password naweza pata huduma ya kuiunlock?
Back
Top Bottom