Samahanini naomba kuuliza. ikitokea maeneo ya mgodi yamechafuliwa na uchafu wa kutoka mgodini kama vile vumbi au kemikali na hakuna madhara yaliyothibitika, je ni hatua zipi watu au serikali inaweza chukua kuzui uchafuzi huo?
Hizi pumba usilete humu.
WEWE kama mtu mwenye busara ungekuwepo pale je usingeweza kuzuia jambo lisilo jema kutokea mbele yako.
Kisheria kila mtu anawajibu wa kujali mtu mwingine pale ambapo jambo ambalo si jema linafanyika.
Ni mambo la mwingi kwa mwanadamu kulikua, kujikubali na kujikosoa pale panapoonekana kwa mambo ya nyakati ulikua sawa lakin kwa mabadiliko ya nyakati si sawa tena.
Leo hii najikosoa ya kwamba sina imani na mh. Kufuatiwa na kitendo cha uvunjifu wa katiba kilichofanyika ijumaa. Na naungana na...
Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii...
Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii...
Sidhan kama huyu askofu aliyejiiita askofu mkuu anaelewa thabibiti ukristu nini.
JE KRISTU ALITUASA TUSHIKE NA KUIISHI AMRI GANI ?
JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA KUISHI NA MAADUI?
JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA MCHUNGAJI NA KONDOO?
JE MCHUNGAJI KAMA MWANGA ANA MCHANGO GANI KWA WAAMIN...
Ndio huyo wa kwanza aseme wazi maana wengine tumjua mtoto wa huku kwetu na kasoma pamba na hapo ndipo aliposoma makonda na alikua mwimba kwaya wa kanisa fulani
[emoji23][emoji23][emoji23] eti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University.
Maana mtaka cha uvunguni sharti ainame ebu aoneshe mfano wa kuonesha vya kwake ndio tuzungumze ya RC
Ni kweli yeye sio mtumishi wa umma bali ni mchungaji ila bado ni public fegure. Na kama mchungaji hapaswi kujihusisha na siasa na hata kama akijihusisha apaswi kusubili injili kwa kutusi watu haipendez bwana Yesu alituagiza kupenda adui zetu na kuwaombea mema.
MCHUNGAJI GWAJIMA kama mchungaji...
Nasikitika sana kuona mtu anasujudiwa kisa pesa na mail kama helicopter. Tukiendelea hivi kamwe taifa halitaondokana na ugonjwa wa akili (uvivu wa kufikilia na kufanya maamuzi).
Mchungaji anapaswa kujikita kuhubiri na kuongoza kondoo wa bwana si kuubuli chuki na revenge.
Ni Kristu yupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.