Recent content by DANIEL SEBASTIAN

  1. D

    JamiiForums Tanzania IPTL saga: Tanzania kuilipa Standard Chartered Dola za Kimarekani Milioni 185

    Jamani naombeni mnisaidie kusoma hizo tarakimu ili na mm nipate cha kusema kijiweni!!!!??
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nahisi hanifai lakini nimeshindwa kumuacha

    Mkuu sasa pesa akuombe yann wakati tayaro keshapewa na yule bodaboda uliyemkuta Naye gizan.hebu jisimamae kama mwanaume MCHA MWANA KULIA ULIA YEYE
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka CHADEMA, Cuf, ACT, CCM, NCCR nk kuteua wagombea wazuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ndo maana akasema wachugue viongozi wzuri na sio bora viongozi
  4. D

    JamiiForums Tanzania 14-Oktoba-1999: Ulikuwa wapi?

    Nilikuwa shuleni darasa LA pili nilikuwa nasikia wanasema Mara bendera nusu mlingoti ila nilikuwa siwaelewi elewi vile
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF: Tanzania haimo katika nchi 10 za Afrika chini ya Jangwa la Sahara zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi

    Safi sana kwa kuwa macho yako yanatazama mazuri!!!!ila sijajua kama unafikiria njia walizozitumia wanyarwanda kufikia hapo walipo jiulize kama jpm akitumia njia hzo hautalalamika????
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hizi kumbukizi za Mwl Nyerere kila mchangiaji anakosoa utawala huu, Kwanini sasa?

    Akosolewe na nani wakati wa kumkosoa wote ni mbumbu!!!!!!HV hao wanaojiita wakosoaji wakati taifa letu linaporomoko kiuchumi nyakati zilizopita hawakuwepo?mbona nchi iliharibikia mikononi mwao Leo hii wanataka kimshauri nn Rais au ndo wanataka kumpa mbinu za kushindwa kama wao?JPM omba ushauri...
Back
Top Bottom