Recent content by Daniel Mwinula

  1. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio amewapiga. Sema KATUPIGA…!!! Binafsi naamini wanaoshinda wote, ni hela za watu waliopigwa. Ni kama tunachangiana vile. Wapigwaji ni wengi kuliko wanaoshinda. Naamini kbs kuna muda Muhindi HATOI HATA MIA MBOVU MFUKONI KWAKE…!!!
  2. D

    Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

    Sasa kama ana MADHAIFU YOTE HAYO, ni kwanini bado Simba wanaendelea kuwa nae?? Naona umeandika madhaifu mengi sana kuliko uimara, ila still Simba inaendelea kum-hold. Why?? Kama yote hayo ni ya kwako binafsi kma shabiki wa Simba NITAKUELEWA. Ila kma mpaka uongozi wa Simba yenyewe unajua...
  3. D

    Baba Levo: Nimeibetia Al Ahly itashinda 7 - 0 Simba

    Sasa aliposema goli 7-0 ni wapi??? Au wewe mleta mada ndo unaleta unafiki…???
  4. D

    Rais wa FIFA Gianni Infantino na Mo Dewji kuzungumza baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Ulipoanza kwa mbwembwe, nilijua una full info na unajua kabisa WANAENDA KUONGEA NINI…!!!
  5. D

    Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

    Kama hana akili unamfuatilia kujua habari zake ili iweje…???
  6. D

    Kiongozi Yanga asema wataifunga Al Ahly nje-ndani

    Kisingizio cha kuletwa na Simba baada ya Mwarabu kufa
  7. D

    Ndugu zangu wana Simba kwa heshima mliyoiletea nchi hii kwenye AFL jamaa zetu wana vikao vya kutuangamiza ijumaa

    Kama mnajua kucheza boli, si mnyamaze kama wenzenu..!! Mbona wapo kimya tu…!!
  8. D

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Huna haja ya kubishana nao. Tatizo lao ni kwmb, kila timu inayocheza na Yanga, basi ni TIMU MBOVU….!!! Na wanakuja na evidence za kipuuzi…!!!
  9. D

    Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara yoyote halali SAHAU KUHUSU KUTOBOA HARAKA….!!! Illegal business ndo angalau inaweza kukuhakikishia kutoboa haraka…!!
  10. D

    Arsene Wenger kuja kuwatizama SIMBA kwa Mkapa

    Kisa FIFA kumleta Wenger Dar au??
  11. D

    Simba yazindua Jezi mpya kuelekea African Football League

    Na hizi jezi mpya MO YUPO MATAKONI NA FOUNDATION YAKE…????
  12. D

    Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ishu ni kwamba ATACHEZA..??? Mara kibao tu namuonaga anaanzia benchi…!!!
Back
Top Bottom