Recent content by Daniel Mwingira

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Duh ngugu yangu mbona una msimamo mkali saana kuna nini?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila msichana ninayemtongoza ananikataa

    Mku utaacha ahalishe kutongoza wanawake maisha yake yote
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Kutamanitamani ni ugonjwa au kurogwa?Maana kila anayekatiza ni mzuri

    Mkuu pole huo sio ugonjwa wala sio kulogwa ni pepo kaombewe au likemee mwenyewe
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila msichana ninayemtongoza ananikataa

    Pole mkuu jaribu kushusha viwango yaan watongoze wanawake wenye level za chiiini sana uone nao wakikukataa njo mpanda nikupeleke kwa mtaalam utakuwa umelogwa wewe.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

    Ha ha ha haaaaaaa, mweee aaawee mkuu umeamua kupasua, kusambaza na kuvunja kabisa? Loo umemchanaje?
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

    Mkuu waambie hao wasiojua kitu cha muhimu ktk maisha yao, wao wanajua pesa ndo kila kitu lakini waamini kuwa upendo, amani na furaha ndo kitu cha thamani ktk mahusiano na sio mzungu jaman mbona hamnielewi?
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

    Mkuu acha moyo ufanye kazi yake jamani, mkuu ulitaka kumpoteza na kumuaharibia maisha huyo mdada rafiki yako. Fikra ni chakavu kwamba maisha mazuri ni rafiki yako kuolewa na mzungu. Tena mimi binafsi nimependa msimamo wake huyo binti tena mpe hongera zake mwambie akaze zaidi kwani mzungu kitu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

    Ahsante mkuu umesomeka ubarikiwe
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Moja ya mambo ambayo wapenz wengi huwa wanakosea ni kuwastanisha umri, Wastani wa umri huendana na michezo, fikra, utani nk. usitegemee wewe una miaka 23 umeolewa na mzee wa miaka 45 - 50 mkaka mkafiti. hamuendani ktk mambo furanifurani kama vile michezo yenu, mawazo yenu, fikra zenu, utani wenu...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Una umri gani?
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Madam pole ongeza umakini ucje ukaishia kuchezewa tu
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hichi Ndicho Kiashiria Bora Kuliko Vyote Kuwa Mwanamke Kafka Kileleni

    Kwel mkuu hata mimi nimesoma mada yake mara 7 hata sielewi naona giza tu
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hichi Ndicho Kiashiria Bora Kuliko Vyote Kuwa Mwanamke Kafka Kileleni

    Mkuu au wakati unaandika mada ulikuwa unasinzia? maana daah hueleweki kabisa
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hichi Ndicho Kiashiria Bora Kuliko Vyote Kuwa Mwanamke Kafka Kileleni

    Mkuu umechanganya pombe ya kienyeji na bia, kichwa cha habari kimenishtua sana maana nilitaka kujua kumjua mwanamke anayefika kilele anadalili zipi? duuh kuzama ndani nakutana na habari z mimba kilele hakipo tena. Mkuu specialize mada umetupeleka chaka.
Back
Top Bottom