Recent content by Daniel Muchele

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Kuhusu Ukaskazini sioni hoja sana,ni jambo la kihistoria tu. Pamoja na mambo mengine Dhiki au shida huleta ajili. Kilimanjaro kwa asili hawana rasilimali sana kama ardhi ya kutosha,mifugo, Madini nk. Ilikuwa lazima wapate mbadala ili kuishi. Wamisionari wa kikristo walipoleta dini na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kila kitu bei ipo juu: Je, Rais Magufuli anapambana na umasikini au anapambana na watu masikini?

    Wanamhujumu? Mbona mambo hayaendi? Ziara za kushtukizia kumuiga "bwana" zimeishia wapi?! Nchi hii bhanaaa....
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni Muhongo Waziri ambaye hafanyi siasa bali kazi yake

    Muhongo!!!? Si ndiye aliyetangazia umma umeme hautapanda!??
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa ajifunze kutoka kwa Ridhwani Kikwete!

    Cha ajabu Lowasa mtaani kwa wasomi wachumi vijana ndo kila dili,achana wapiga kelele za chuki humu. Kama mnabisha ruhusuni afanye hata mkutano mmoja tu ndo mtaelewa watu wa nataka. Mbona huyo mwoga kaogopa??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa ovyo wa kufungia mwaka{tafsida}

    Nimekupata, mchezaji wa hivyo hapa bongo hhupangagwa tena,
Back
Top Bottom