Recent content by Daniel mmbaga

  1. D

    JamiiForums Mrisho Gambo: Tanzania kuna double standard, yapo maeneo maamuzi yanafanyika haraka kulimo mengine

    Ardhi ni mali ya serikali, sasa huu urasimishaji inauaje ufanywe na makampuni(Private sector) ...kuna mambo mengi ambayo yataibukq hapo baadae we tu subirie tu...
  2. D

    JamiiForums Kikwete: Kutokana na utoaji hafifu wa Elimu nchini, kuna hatari ya nusu ya ajira zilizopo kutoweka ifikapo mwaka 2050

    Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Tanzania inabidi tuamke. Swala la ajira bado ni tatizo na hatiwezi kubaki kuendelea kulijadilitu mitandaoni na kwenye mijadala mbalimbali...tunatumia gharama kubwa sana kuandaa mijadala ya kujadili kuhusu tatizo la ajira. Lkn tunasahau kuwa maneno matupu hayavunji...
  3. D

    JamiiForums Afanye kazi ipi huyu?

    Mm nadhani inabidi serikali kupitia kwa wizara ya elimu iwe inafanya tathimini ya course kila baada ya muda flani(avarage 3 to 5 years) ili kufahamu ni watu wangapi kwa mwiaka hiyo wamehitimu na graph ya walioajiriwa inasomaje mpka muda huo, ili kujua uhitaji uko vip pia. Hatuwezi kuwa na...
Back
Top Bottom