Recent content by Daniel migo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tittle ya barua ya kazi

    Kwa nini uandike kwa kiswahili!?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tittle ya barua ya kazi

    Kwa nini uandike kwa kiswahili!?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Team kwa ajili ya tourism event

    Samahani, hiyo event inahitaji watu wa namna gani!? Pia kuna kiasi chochte kinahitajika kama mchango wa hiyo eventau hamna
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sidhan kama hiyo ni breaking news kwa gu maana nilijua toka mwanzo ndugai alivyobwaga manyanga, nilijua tu spika atakuwa yeye...ukiniuliza sabb sijui ila nilijua tu hivyooo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

    Sawa na kuhusu atm 2million
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

    Ila yote pole sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

    Daaah!! Kama ni hiyo stori tumepigwa kabisa maana mtu kamwita jna lake, hilo jina kalijuaje kwanza wakt hamfahamu? Atm million 2 inatokaje kwa mfano, jaman
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

    Daaaah!! Umeongea kwa hasira sana na kwa hisia sana kama nakuona yani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Suala la kuacha kazi ni maamúzi binafsi ya mtu, hivyo kama unaona ni bora kujiajiri ni vyema ukafanya hivyo ila sio kuja humu kuanz kutoa mapungufu ya mwajiri wako na kuona waajiri hawafahi wakat kuna watu wanakula good time na waenjoy kazi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    🤣🤣🤣🤣kwl kabisa inabidi sehemu anayotaka kutoka atuunganishe na sisi tukafokewe kidgo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Aaaah!! Nchi imeshakuwa ngumu kwa kwl🤔🤔
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Nipo tayari
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Naomba mawasiliano yako mkuu, nipo mwanza
Back
Top Bottom